Ridhiwan Kikwete atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Unguja

Status
Not open for further replies.
Ni kesho Jumapili mida ya saa 8 mchana. Mjumbe huyo wa kamati kuu ya CCM na kada wa Chama hicho atahutubia mkutano mkubwa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Uguja.

Haijafahamika nini hasa Kada huyo atazungumzia lakini kuna uwezekano mkubwa akagusia Katiba mpya ambapo hivi karibu wapinzani Mbowe, Lipumba na Mbatia waliungana kupinga mchakato huo.

Katiba inasemaje kuhusu mkutano wa hadhara? je mtu yeyote anaweza kuitisha? kwani yy ni nani hadi aitishe mkutano wa hadhara
 
Labda hahutubie kuhusu fursa aliyowapatia watanzania ya kufa na kufungwa nje ya nchi kwa ajili ya madawa hongera kwa pia hongera kwa kumshauri baba yako kutoa ajira za lumumba buku 7 ili wa wasafishe maana 2015 jela inanukia
 
Ni kesho Jumapili mida ya saa 8 mchana. Mjumbe huyo wa kamati kuu ya CCM na kada wa Chama hicho atahutubia mkutano mkubwa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Uguja.

Haijafahamika nini hasa Kada huyo atazungumzia lakini kuna uwezekano mkubwa akagusia Katiba mpya ambapo hivi karibu wapinzani Mbowe, Lipumba na Mbatia waliungana kupinga mchakato huo.

Anaenda kuangalia njia za kupitisha Sembe na kusajili mapunda wa kubeba mizigo
 
Labda hahutubie kuhusu fursa aliyowapatia watanzania ya kufa na kufungwa nje ya nchi kwa ajili ya madawa hongera kwa pia hongera kwa kumshauri baba yako kutoa ajira za lumumba buku 7 ili wa wasafishe maana 2015 jela inanukia

Haki ya nani huyu dogo siku akipita anga zangu ntamgonga swali la sembe hivi watu wanogopaga kumuuliza au?
 
Anaenda kumnadi Benard, Mnajua urais ni wa kisultan tangu fast jet aingie na mda wake unaishia. Dogo anatakiwa ahakikishe babaake mdogo anapokea kijiti maana chadema haitawaacha salama na Lake oil.
 
huyu nae ---- 2. Hivi yy anasimama jukwaani km nan? Na anataka kuswaambia watz nin? maana nahisi huu ni upimbi unaofanywa kibabe, na kwa maslah fulan.
 
alipewa uwakili bila kuulizwa hata swali moja,jaji ramadhan agustino alifadhaika sana.
kama alifadhaika je yeye pia alikuwepo mbona hakuuliza? au ndo propaganda za dr slaa?? kumbuka Dr aliasi upadri sembuse chama kisicho na imani fulani? ipo siku atasema hatoki madarakani ili akijenge chama! kwani chadema hakuna watu zaidi yake? acheni ulimbukeni, hizo ni akili za mtu anayefikili kwa kutumia makalio.
 
Anaenda kumnadi Benard, Mnajua urais ni wa kisultan tangu fast jet aingie na mda wake unaishia. Dogo anatakiwa ahakikishe babaake mdogo anapokea kijiti maana chadema haitawaacha salama na Lake oil.
hongela kwa kujitoa kukitetea na kukijenga chama ila kwa mashariti "sitajisikia vizuri nikisikia unakwenda kumpigia mtu upatu wa uraisi au ukiwagawa vijana imara wa chama cha mapinduzi" idum Ccm tunayoitaka.
 
siku hizi umekuwa brain washed
sio kawaida yako kuandika maneno yenye mrengo wa kichama
nani asiejua kijana huyu ni fisadi wa kutupwa na utajiri wake haujulikani umetoka wapi,
nani asiejua anajihusisha na biashara haramu?
atueleze ni kesi gani ameisimamia ikamlipa mihela yote hiyo?
acha kushabikia usiyoyajua mandenyi sijui mamsaranga
au umeahidiwa flat la bure Ilala?

Mtaishia kusema hayo hayo
Kwani hamna hata moja jipya
ni yale yale ya miaka ileeeee,

Mtalia sana na roho zenu.
 
Mtaishia kusema hayo hayo
Kwani hamna hata moja jipya
ni yale yale ya miaka ileeeee,

Mtalia sana na roho zenu.

1. Watoto wa SADAM HUSSEIN walikuwa hivi hivi leo wako wapi?
2. Watoto wa Hosin Mubarak walikuwa hivi hivi leo wako wapi?
3. Watoto wa Ghadaf walikuwa hivi hivi leo wako wapi?
4. Watoto wa Mobutu walikuwa hivi hivi leo wako wapi?

Inatakiwa ujue kabisa Mzazi wako anapokuwa kiongozi wa nchi ni vizuri sana watoto kujiepusha na Siasa ili kulinda heshima na utendaji wa Baba yako. Kinachotushangaza ni hii familia ya Kikwete kufanya siasa ndio ajira pekee waliyoiona kwani Baba, Mama na watoto wote(BMW) wamehamishia ajira zao kwenye siasa na hii itawafanya wasiwe na mwisho mzuri wa maisha yao kwani dunia na Tanzania ya leo sio ile ya zamani.
 
mi sioni lamaana kutoka kwake! ni nyani miongoni mwa nyani wengine walio katika msitu wa zamani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom