hahaha yaani Wakenya kwa kupenda sifaa. mmedaganywa Rick Ross alikuja Tz 2012 tena kipind hicho ndo alikuwa kwenye chart kama uonavyo wakina Drake sasa. Huku alikaa wiki nzima huko kwenu nackia anapiga show nakuondoka siku hiyo hiyo, arrogant fools!

US rapper @RickRoss is already in the country ahead of Saturday concert at Carnivore grounds. [HASHTAG]#RickRossInNairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/EjcOhMoliD
— Nairobi News (@Nairobi_News) April 27, 2018

Wadau wanaopenda hip hop, your fellow gangster has just landed today, ready for his show tomorrow at the carnivore grounds. This is his first time in East Africa.
Alisha kuja TZ kabla haja chucha nakukonda. 😀😀Kwa sasa anagongea collabo kwa akina Diamond. Kwisha habari yake.😀😀

US rapper @RickRoss is already in the country ahead of Saturday concert at Carnivore grounds. [HASHTAG]#RickRossInNairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/EjcOhMoliD
— Nairobi News (@Nairobi_News) April 27, 2018

Wadau wanaopenda hip hop, your fellow gangster has just landed today, ready for his show tomorrow at the carnivore grounds. This is his first time in East Africa.
Kalushie fundi ujenzi tofali na misumari😀😀Yeye kasema first time for him to be in East Africa. Hukutaka tumwambie kuwa alishakuja ?😀😀I knew haters would be all over this thread lol. He came to Tz, so what? Now he's in Kenya.
Baada ya kumlipa only 10million unadhani atatamani kuwasema...Kalushie fundi ujenzi tofali na misumari😀😀Yeye kasema first time for him to be in East Africa. Hukutaka tumwambie kuwa alishakuja ?😀😀
Mbona unanifuata kila mahali wewe Maharishi? Sipendi watu wajinga kunifuata. Yani nimepea watu facts humu ndani hadi hawaamini wananiwaza usiku mchana. Nisipopost wananidiscuss, nikipost lazima waniquote. Nawatoa povu hata kama sipo. Shida wote vilaza. Kajibishane na vilaza wenzako.Kalushie fundi ujenzi tofali na misumari😀😀Yeye kasema first time for him to be in East Africa. Hukutaka tumwambie kuwa alishakuja ?😀😀
I knew haters would be all over this thread lol. He came to Tz, so what? Now he's in Kenya.
Acha uhuni wewe rozey alishakuja fiesta dar 2013 kama sijasahau

US rapper @RickRoss is already in the country ahead of Saturday concert at Carnivore grounds. [HASHTAG]#RickRossInNairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/EjcOhMoliD
— Nairobi News (@Nairobi_News) April 27, 2018

Wadau wanaopenda hip hop, your fellow gangster has just landed today, ready for his show tomorrow at the carnivore grounds. This is his first time in East Africa.
Ten million nyingi sana. Inabidi apewe buku tu.Baada ya kumlipa only 10million unadhani atatamani kuwasema...
mwache kulipa international stars pesa za aibu
Mbona unanifuata kila mahali wewe Maharishi? Sipendi watu wajinga kunifuata. Yani nimepea watu facts humu ndani hadi hawaamini wananiwaza usiku mchana. Nisipopost wananidiscuss, nikipost lazima waniquote. Nawatoa povu hata kama sipo. Shida wote vilaza. Kajibishane na vilaza wenzako.
Nasikia wewe unatokwa povu matundu yote😀😀 Kweli na wewe huna malinda ?? 😀😀Mbona unanifuata kila mahali wewe Maharishi? Sipendi watu wajinga kunifuata. Yani nimepea watu facts humu ndani hadi hawaamini wananiwaza usiku mchana. Nisipopost wananidiscuss, nikipost lazima waniquote. Nawatoa povu hata kama sipo. Shida wote vilaza. Kajibishane na vilaza wenzako.
This is first time in east Africa wapi ww ,acha kupotosha , hukumbuki miaka kazaa kazaa iliyopita alikuja makao makuu ya East Africa Hapa bongo, shame on you

US rapper @RickRoss is already in the country ahead of Saturday concert at Carnivore grounds. [HASHTAG]#RickRossInNairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/EjcOhMoliD
— Nairobi News (@Nairobi_News) April 27, 2018

Wadau wanaopenda hip hop, your fellow gangster has just landed today, ready for his show tomorrow at the carnivore grounds. This is his first time in East Africa.
Mnakumbuka obama alipokuja Tz first when you expected angekuja kenya sababu mmelazimisha undugu, mkanuna mwezi mzima? [emoji3][emoji3][emoji3] that was lovely.
The point is, rick ross angeanza kenya mlivyo na midomo na mashauzi tusingepumua. [emoji4]