Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

"...Matusi ya kazi gani? Kulikuwa na ulazima upi kuni quote?then unatumia lugha ya Matusi, we unadhani mi siwezi kukujibu tusi kubwa kuliko hayo? Next time pita kimya kimya , you're a man , ji position "
Acha upuuzi
 
Nimeshamaliza Vishu mkuu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Ahsante kwa ufafanuzi, nimekuelewa na nimefuta wimbo pia maana nilikuwaga najua ni wimbo wa kutuhamasisha mahustlers kumbe wanasifia jamii zinazopingana na Mungu Mkuu
 
rick alipotea sana,umaarufu ni kazi pia imani ya kweli ni uislamu tu..ukiangalia wakristo magdalena wamemtoa kweny vitab vyao wkt ni mjumbe pia.
 
Diamond yuko kwenye Black Lodge na rolls royce yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ