Richard Kasesela aka Bibo karibu jimbo la Kawe umpokee kijiti Halima Mdee ubunge 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,954
Kwa kuwa kasi ya maendeleo katika jimbo la Kawe inasuasua kutokana na ukweli kuwa Mdee amekuwa nje ya bunge kwa kusimamishwa mara kwa mara na hivyo Kawe inakosa MTU was kuwaongelea mambo yao ya maendeleo.

Najua Hajji Manara wa Simba anaandaliwa kugombea lakini vijana was Kawe waliponiomba nikufikishie mwaliko huu nikakubaliana na mawazo yao.

Hivyo ikikupendeza achana na mambo ya Rungwe, rudi nyumbani Kawe kumenoga.

Mjumbe hauwawi nimefikisha salami za sana Kawe

Maendeleo hayana vyama!
 
Yaani huyo hata kura 1000 hapati.Kumbuka kawe wanakaa wasomi watanzania wenye kipato cha kati hawawezi ichagua ccm kamwe hata ccm ikiiba mshindi ni iron lady mdee
 
Huyu huyu manara mwenye kesi ya utapeli hapo kisutu? Kweli Ubunge umedharaulika Sana,
Hii ni sababu ya watu kama akina mlinga,kigoda,kibaji.
Labda viti maalumu
 
Manara kadanganywa na madalali wa siasa waliotapakaa huko jiji Dsm kuwa akigombea atapata ubunge wamekula vicent vyake mpaka kashindwa kulipa deni la watu huko Arabuni, manara asijidanganye kuwa ataupata Ubunge kirahisi kwa kuchakachua wakati mtaalam na mratibu mwandamizi wa uchakachuaji ndugu January makamba wamemtupa pembeni,
 
Huyu huyu manara mwenye kesi ya utapeli hapo kisutu? Kweli Ubunge umedharaulika Sana,
Hii ni sababu ya watu kama akina mlinga,kigoda,kibaji.
Labda viti maalumu
Manara huwa bado amekariri kuwa watanzania ni wajinga hawana kumbukumbu yeye yupo mwezini hakuna anayejua madhambi yake hivyo aweza kuwambia chochote watakikubali na kumchagua ama atachakachua kwa mbinu zake binafsi
 
Halima ananyanyaswa sana na mapolis kawe, haruhusiwi hata kufanya mikutano ya hadhara katika jumbo lake. Ccm wataendelea kulisikia tu redion hill jimbo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom