Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 788
- 1,904
😀Manager DOKII Hahahahahahahahah
Sure..Mavoko wa zamani ni tofauti na yule wa WCB..Alikuwa na utunzi na uimbaji mzuri..Kaingia WCB akabadilika..Akaanza kuimba madudu lakini ngoma zikawa hit..Akaona hii ndo style..Kosa la kwanza lilikuwa kubwa zaidi.
Kabisa aisee..kwa hiyo alifanya kosa na hakutakiwa kurudia kosa
Sure..Mavoko wa zamani ni tofauti na yule wa WCB..Alikuwa na utunzi na uimbaji mzuri..Kaingia WCB akabadilika..Akaanza kuimba madudu lakini ngoma zikawa hit..Akaona hii ndo style..
Akasahau kuwa ukiwa WCB unaweza hata kuimba mabata madogo madogo yanaogelea na ngoma ikapromotiwa ikawa hit..Now yuko nje ya WCB hana management ya kueleweka halafu still anaimba nyimbo za mabata madogo..

Yani hata ww ungekuwa dablisibii ungekuwa bonge la star..mabata madogo
Teh teh...Hope kuna kamtu kalikuwa kanakulainisha na huo wimbo.
Nilimpenda mavoko wa kabla ya wcb, wimbo wake wa pacha wangu bado ni my favourite. Sijui alikosea wapi hadi akaamua kujiunga huko.
Walaaaa, naupenda tu.Teh teh...Hope kuna kamtu kalikuwa kanakulainisha na huo wimbo.
Wewe mimi ni bonge la mwimbaji hata nikianza kuimba peke yangu nakuwa starYani hata ww ungekuwa dablisibii ungekuwa bonge la star..
Hili ndilo linamkwamisha. Bado anaimba ki-WCB. Ukisikiliza melody zake za sasa zimeegemea huko na sio mavoko kile kichwa cha kutunga na kutoa best melodies. Bado jamaa ni mkali ila kipaji tu hakitoshi ni lazma ajiongezeSure..Mavoko wa zamani ni tofauti na yule wa WCB..Alikuwa na utunzi na uimbaji mzuri..Kaingia WCB akabadilika..Akaanza kuimba madudu lakini ngoma zikawa hit..Akaona hii ndo style..
Akasahau kuwa ukiwa WCB unaweza hata kuimba mabata madogo madogo yanaogelea na ngoma ikapromotiwa ikawa hit..Now yuko nje ya WCB hana management ya kueleweka halafu still anaimba nyimbo za mabata madogo..
Uko sahihi mkuu..Hili ndilo linamkwamisha. Bado anaimba ki-WCB. Ukisikiliza melody zake za sasa zimeegemea huko na sio mavoko kile kichwa cha kutunga na kutoa best melodies. Bado jamaa ni mkali ila kipaji tu hakitoshi ni lazma ajiongeze
Nadhani umesahau unaongea na naniWewe mimi ni bonge la mwimbaji hata nikianza kuimba peke yangu nakuwa star
We si unanichukulia poa, sauti yangu ya kuimba haina uhusiano na sauti nyingine unayoisikiaga toka kwanguNadhani umesahau unaongea na nani
Teh teh..Basi sawaWe si unanichukulia poa, sauti yangu ya kuimba haina uhusiano na sauti nyingine unayoisikiaga toka kwangu