Rhumba by kings music

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,341
Kings music ya Alikiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wanaonekana wana Talent kubwa ila ajabu wamekosa mtu wa kuwabrand.
 
Kings music ya Alikiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wanaonekana wana Talent kubwa ila ajabu wamekosa mtu wa kuwabrand.
Nimeisikiliza zaidi ya mara 5 nyimbo ni ya kawaida ila kutokana na utimu uliopo itapewa promo kubwa na haya mambo ndo yanafanya wasanii wengine wakali wasionekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…