Rhapsody's Lounge

Haha huyu jamaa bana sio kila dem atajileta may be awe Kilaza
 
Kama naona PM ya huyu mtu ikiwa imezidiwa kabisa na msongamano mkubwa huku watumaji wakiwa na shauku ya kwao isomwe mapema. DD>SS
 



Beautiful View!

Naona leo umebadili unataka singles, au ndo mambo ya varieties?
Halafu wewe mh!....hatz off to ya!
 
waiting for Bit**
Germany Vs Italy
It's a Big a Hit!
Can't wait hommie
 
Vya kawaida sana hivyo..!
 
Teh teh teh..Comrade...hapo kwa age si kwamba nimeongeza?

Halafu Comrade moja kati ya hizi siku itabidi upitie pale Kibo bar [Serena] tuzionje Heineken za pale huku tukiangalia na maua.

Mtambuzi nitampitia nije nayeπŸ˜€.
Swahiba usimsahau na demu wetu sister .... huu ndo wakati wa kukumbushia movie za enzi zile... Yani kama Double Impact ya Jean Claude in a "tabenako" way..... sharing is tukiwezeshwa tunaweza...
 
Maalimu tugawane hizo teni pasenti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…