MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha radio free afrika cha watanzania tuzungumze magazeti, lakini siku za hivi karibuni kipindi kiko kimagamba magamba, magazeti yanayosomwa siku hizi mengi ni magamba.com. Yani sina hamu tena na kipindi hicho. rfa aibu tupu mnakera sasa.
Hawana jipya cku izi,icho kipindi kimedoda mf.huwa wanaruka habari hasa za cdm