RFA Songea mmehamia Digitali?

RFA Songea mmehamia Digitali?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Wakuu heshima kwenu,
Leo ni siku ya tano siipati Radio Free Africa(RFA)huku Songea.Napata shida, mnisaidie kuna nini?
 
Wanakamgogoro baridi kanakohusu malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi, huenda mainjinia wa mitambo wameanza kuvuruga frequencies kwa kigezo cha 'tatizo la kiufundi'.
Kiukweli wanalalamikiwa sana kwa siku za karibuni.
 
Ni kwel kuna kamgomo baridi nahisi mambo hayohayo ya mshiko kwamba mkurugenzi wao anawazingua.
 
Back
Top Bottom