Reymac Aluminium & Upvc

mceglon

Senior Member
Feb 19, 2014
130
53
Habarini, wanaohitaji aluminium and upvc madirisha, milango hata profile dar es salaam na nchi nzima kwa bei rafiki kama
1. Upvc kwa (m²) yaani square meter 170,000/=
2. Aluminium kwa (m²) square meter ya single glass 120,000/=
3. Aluminium kwa (m²) square meter ya double glass 150,000/=
4. Ukihitaji profile za aluminium kwa rangi yeyote
a. Aluminium profile 32,000/=
Na vifaa vingine vyote vipo.

Note: hautaji kulipa advance kuanza kazi yako, ni makubaliano tu tunaanza kazi yako kwa uaminifu baada ya frame ndio unalipa.
: Tunatoa guarantee kwa miezi 12 kwa kazi tulioifanya.

Ofisi zetu ziko Wazo Msigani Dar es salaam, kwa mawasiliano:-
Email reymac668@gmail.com
Mobile; 0714128920
0764966024

Karibuni sana
View attachment 1583288View attachment 1583289
View attachment 1583696View attachment 1583697View attachment 1583698View attachment 1583699View attachment 1583700
View attachment 1584895
 
Nauliza
Kula aluminiam moja nimeionanjuzi ina rangi nyeupe ( Sio PVC) Bei yake ipoje??
Maana niliikwangua ndo nikaona ni aluminium kwa ndani, lakini nje ni nyeupe
 
Nauliza
Kula aluminiam moja nimeionanjuzi ina rangi nyeupe ( Sio PVC) Bei yake ipoje??
Maana niliikwangua ndo nikaona ni aluminium kwa ndani, lakini nje ni nyeupe
Kwa double glass ni 150,000 @ m²
Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante
 
Kwa double glass ni 150,000 @ m²
Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante
Nafikiri hujafafanua vizuri unaposema double glass
 
Nafikiri hujafafanua vizuri unaposema double glass
Ok maana ya double glass ni kwamba dirisha linakua na vioo 2 vimeunganishwa kwa pande zote mbili kati kati ndio unakuta kuna na maua, single ni kioo kimoja tu mara nyingi kioo kimoja huwa akina maua. Hivyo basi dirisha likishakua na vioo viwili tayari gharama hio tofauti na kioo kimoja
 
Hapa utaeleweka
 
Kwa double glass ni 150,000 @ m²
Single glass ni 120,000 @ m² bei yake ni hio ikiwa ya blonze ndio bei inapungua ila nyeupe bei ndio hio. Asante

sijui kama umenielewa achana bronze na iyo yenye ipo kama sufuria, ninayoisema ipo coated na rangi nyeupe peeee
 
Mkuu niliuliza swali hapo juu ili ushtuke, ili upate bei sahihi lazima ujue size, msome mjumbe vizuri ana hoja
Sijakuelewa vizuri kiongi wangu naomba unieleweshe zaidi niweze kujibu kufasaha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom