Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,333 Reaction score 37,771 Oct 5, 2023 #1 Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman. Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila nikizisikiliza nashindwa kuelewa ipi kali zaidi,Je wewe una maoni gani? NB: Hawa wenzetu kwenye hizi sound track huwa wanatisha sana, sijui ndo huwa wanapania sana. Zac Efron X Zendaya (Og Version) View: https://youtu.be/yO28Z5_Eyls?feature=shared James Arthur X Anne-Marie (Cover) View: https://youtu.be/pRfmrE0ToTo?si=SdRp86kd1rVVOxc0
Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman. Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila nikizisikiliza nashindwa kuelewa ipi kali zaidi,Je wewe una maoni gani? NB: Hawa wenzetu kwenye hizi sound track huwa wanatisha sana, sijui ndo huwa wanapania sana. Zac Efron X Zendaya (Og Version) View: https://youtu.be/yO28Z5_Eyls?feature=shared James Arthur X Anne-Marie (Cover) View: https://youtu.be/pRfmrE0ToTo?si=SdRp86kd1rVVOxc0