Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,815
Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru.

Wenyewe hawajafurahia wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani.

Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi utasema wanataka kuzindua uwanja wao mpya
 
Hawa Utopolo ile timu utadhan Misukule yao ni Wapemba. Timu utadhan ina bond na muungano. Akina Ninja wako pale wanakula Penshen tu sasa wanamleta Mudhathir ili wazibe pengo la Mzanzibar Fei Toto naona Mzee Karume aliacha Wosia wa 50/50 ya Bara na Visiwani
 
Usajili wa hovyo kufanywa na Yanga baada ya ule wa Yikpe
Akili nyingi sana.. Kiungo mkata shombo. Ni heri uwe na huyu mpemba muislamu kuliko kuwa na Bigirimana anaye ingia na kutoka kwenye kikosi cha kwanza.

Tanzania hakuna kiungo mkabaji mzawa kama Mudathir Yahaya..

Itoshe kusema viongozi wametumia akili nyingi, waliona huwezi kumwacha Bigirimana wakati huna mtu wa kushika nafasi yake. Ujio wa Mudathir ni ishara tosha Nafasi ya kigeni ya Bigirimana kinakuja Chuma cha pua.

Sasa wakati Yanga wanasajili wachezaji, kuna timu zinaleta wapiga Nyeto. Baada wakigongwa waanze kusingizia bahasha.

Kiungo PUNDA + Kiungo NUNGUNUNGU = Mudathir yaha.. Ukitaka ndio Usipo taka ndio.
 
Atacheza wapi?
Daaaah!!!!
IMG-20230103-WA0001.jpg
 
Yanga wameamua kumsajili kiungo aliyeachwa na Azam kama mchezaji huru
Wenyewe hawajafurahii wamenuna sasa cjui walijua anatambulishwa nani,
Wameanza kutupigia mabomu huko insta toka juzi utasema wanataka kuzindua uwanja wao mpyaView attachment 2467902
Hujui sheria za mpira. Hakuna revenge hapo.

Na hakuna sababu ya revenge, maana Azam hawajaikosea Yanga kitu chochote. Habari za Feisal kusajiliwa na Azam ni tetesi tu. Azam hawajamtambulisha Feisal kama mchezaji wao. Na hawajamtambulisha kwa sababu wanajua madhara ya kufanya hivyo. Na sidhani kama TFF itaruhusu usajili wa Feisal Azam kwa sababu za kisheria.

Kuna mambo ya kisheria katika suala la Feisal ambayo waTanzania wengi wanaoliongelea suala hilo ni weupe hawayajui.
 
Ooolaiiitaaa ashante sana, basi hapa ni mwanzo wa whole sinema letu ni kati ruti za maintirodakisheni shasha, ndipo bhasi mdathiri yahya ankwingilia kunako timu ya wanachi shasha, wacha maneno ashalale wololo yayee.
 
Na katika Pandey za kambi ya makolo eti wako na mudedlii na wap wako wanamuitaa saidooo akiwa anakimbiza makagali😂😂😂
 
Back
Top Bottom