Rev Mtikila mbona yuko kimya sasa?

Rev Mtikila mbona yuko kimya sasa?

mwanangoko

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
136
Reaction score
23
Hakuna mtu aliyekuwa passionate na Tanganyika kama Rev Mtikila.
Nilimwona kama sikosei mwaka 1995 hivi akitembea na bendera ya Tanganyika akielekea mitaa ya Shaban Robert.
Simwoni frontline kwenye UKAWA,au ndio magamba yamempa kitu kidogo akae kimya?

Nimesikiliza audio ya Bishop Kakobe,masaa 2 hivi kuhusu Tanganyika alipotoa wakati wa Pasaka.Kumbe Tanganyika
tulipewa na Mungu.Kama wewe Mtanganyika halisi sikiliza sermon hii ya Bishop,utafarijika moyoni

Viva Tanganyika,Tanganyika itakuja tu.
 
Baada ya kujua madhara yanayoweza kusababishwa na serikali 3 amegairi sasa hivi anataka serikali 2 ila anaona noma kusema.

Bora akae kimya
 
Hakuna mtu aliyekuwa passionate na Tanganyika kama Rev Mtikila.
Nilimwona kama sikosei mwaka 1995 hivi akitembea na bendera ya Tanganyika akielekea mitaa ya Shaban Robert.
Simwoni frontline kwenye UKAWA,au ndio magamba yamempa kitu kidogo akae kimya?

Nimesikiliza audio ya Bishop Kakobe,masaa 2 hivi kuhusu Tanganyika alipotoa wakati wa Pasaka
.Kumbe Tanganyika
tulipewa na Mungu.Kama wewe Mtanganyika halisi sikiliza sermon hii ya Bishop,utafarijika moyoni

Viva Tanganyika,Tanganyika itakuja tu.

Mkuu Mwanangoko,
Salamu kwako. Mkuu hii sermon nadhani wengi tunatamani kusikiliza, unaweza ku-upload hapa na wengine tufaidi walau kidogo?.
 
Back
Top Bottom