Return of Ninja (K.K.K) ROMA

Return of Ninja (K.K.K) ROMA

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
nyimbo yenyewe hii HAPA

1888737_530575437060306_631810970_n.jpg
 
Sijakusoma bado unamaanisha nini? tupo habari za kutosha kama ni single, albam au nn, c kila mtu anajua unachofahamu ndugu
 
Sijakusoma bado unamaanisha nini? tupo habari za kutosha kama ni single, albam au nn, c kila mtu anajua unachofahamu ndugu

Mkuu kuwa mpole
K.K.K ni nyimbo mpya ya ROMA
Itatoka tarehe 10/03/2014
Studio ni Tongwe Records
 
Ameshakusanya matukio ya mwaka mzima tayari kuyaimba kama kawaida yake kutoa singo january au december
 
Mkuu kuwa mpole
K.K.K ni nyimbo mpya ya ROMA
Itatoka tarehe 10/03/2014
Studio ni Tongwe Records

sasa ndo nimekuelewa, nashukuru kwa taarifa, tetesi zinasema inahusu nn zaidi, inaonekana kuwa ni ya kichungaji zaidi au?
 
sasa ndo nimekuelewa, nashukuru kwa taarifa, tetesi zinasema inahusu nn zaidi, inaonekana kuwa ni ya kichungaji zaidi au?

sina uhakika kwamba itakuwa inahusu nini ila J3 siyo mbali
 
Ameshakusanya matukio ya mwaka mzima tayari kuyaimba kama kawaida yake kutoa singo january au december

Kama kawaida yake ila naona kwa sasa atabadilika kidogo yeye anasema kwa ana project yake inaaitwa Return of Ninja katika hii project anataka awe anatoa ngoma angalau tatu kwa mwaka
 
Kama kawaida yake ila naona kwa sasa atabadilika kidogo yeye anasema kwa ana project yake inaaitwa Return of Ninja katika hii project anataka awe anatoa ngoma angalau tatu kwa mwaka

Tusubiri labda atabadilika, ila hapo tu ndipo naona udhaifu wake kuimba matukio.
 
anaimbaga matukio mwanzo mwisho ila mi namkubaligi bonta wajameni
 
Roma bora akasome tu Dsj au Mass com pale Tumaini maana nyimbo zake ni kama unasikiliza taarifa ya habari kipindi cha matukio ya mwaka.
 
ameshindwa kuvunja record yake mwenyewe
 
Nmeickiliza hyo ngoma,Mi nahic kapita mule mule anamopita cku zote,isipokuwa jamaa aliyesimama kwa chorus kaitendea haki hyo ngoma
 
Hakuna tofauti uimbaji ukeule beat zilezile majungu kama taarabu mulemule kama wawaida kakusanya matukio ya Vinega, Jide na Ruge pamoja na ishu ya Jack Cliff hivi huyu hajifunzi kutoka kwa wenzake Tamaduni muzik wana nyimbo nyingi zenye maudhui tofauti sio kuimba stori tu zilizoongelewa kwenye media hata haumizi kichwa huyu si mwanamuziki bali mwana habari, atajiitaje mwana hiphop wakati hata sidhan kama anajua kufreestyle nahisi hata young dee atamshinda kwenye free style.
 
Back
Top Bottom