Pole wafiwa.nilisoma na mtoto wake frank mahundi sekondari miaka ya mwanzon ya tisini kuna ata mtoto rpc joseph nguruwe walikuwa darasa moja. Mungu awape nguvu katika kipind hiki kigumu
familia zetu za kiafrica hizi, ukiwa nacho ukoo mzima wanataka uwasaide kama vile mwenyewe huna majukumu..... na ukishawasaida ukipata shida kama utawaona.....................................
Pole kwanza eventhough you dont seem to be shocked with news. Kijana nafikiri umesahau methali inayosema mtegemea cha ndugu hufa masikini na usaidiwe kwani kilema. Acha zake hizo mwache baba wa watu alale salama, mungu ndio ataemjudge.
familia zetu za kiafrica hizi, ukiwa nacho ukoo mzima wanataka uwasaide kama vile mwenyewe huna majukumu..... na ukishawasaida ukipata shida kama utawaona.....................................