Resume Website kwa wahitimu wote...

ABDI A

Member
Oct 13, 2013
27
11

  • [*=1]29 DEC 2013 - INTRO
Hallo wadau, nimeplan kutumia muda wangu wa ziada kutengeneza Resume Website
kwa ajili ya wahitimu wa Tanzania, je ungependa iwe na features zipi?..


PROGRESS


  • [*=1]31 DEC 2013 - SETTING FRAMEWORK.......DONE!

    [*=1]1 JAN 2013 - DESIGNING.............DONE!
    [*=1]2 JAN 2013 - CONTENT WRITING...........DONE
    [*=1]3 JAN 2013 - TESTING ONLINE...........DONE!.
- TROUBLESHOOTING.................DONE


  • [*=1]4 JAN 2013 - LITTLE HOUSE KEEPING.....IN PROGRESS
LAUNCHING... .......... IN PROGRESS!


**Updates**05 January 2014-.............Website online!
GRADUATE LOGO2.png

View attachment 130359

Beautiful Resume Prepared by Sample Student folloW link below
SAMPLE RESUME

Follow the link below to join
Join us - Tanzania Graduates
Thanks

 
Sasa umetengeneza aidia bila kuelewa ipoje?

Naona wengi wanastrugle jinsi ya kuandaa Resume, nafikiri naweza kuwasaidia, ila kujua mawazo na mahitaji yao nadhani ni muhimu, au unasemaje!
 
....What is resume website?
Resume is a professional representation of your personality and skills:

A resume website is a medium through which you can either get information on creating a resume or use it to make your presence regarding your skills and experiences on the World Wide Web.
It provides you a platform through which you can present your achievements in front of the recruiters all around the globe. You can also get tips on writing a resume or cover letter from a website
Two types available:
  • Generic resume website (what we are talking now) and
  • personal resume website.
That is my understanding, there may be an academic definitions though.
 
Interesting, Ningependa kuwe na Resume builder form ambayo mtu akijaza form, resume inatokea katika format nzuri na siyo iwe ni website ambayo mtu ana upload Resume, Idea nzuri ninasubiri kuona.....
 
Interesting, Ningependa kuwe na Resume builder form ambayo mtu akijaza form, resume inatokea katika format nzuri na siyo iwe ni website ambayo mtu ana upload Resume, Idea nzuri ninasubiri kuona.....

A%20S%2041.gif
NIMEIPENDA HIYO NINAFANYIA KAZI, THANKS


 
Kama alivyo shauri Madam R nadhani ukiwa templates na few expamples, some hints vitasaidia sana
 
komaa mwana itasaidia,iweke feature zako then itarekebishwa polepole.
 
Unafikiri iweje ili ikusaidia kupata kazi mzee webuser2....funguka!
Ili ije kitofauti isiwe ni website ya watu kutengeneza cv na kudownload tu, isipokuwa iwe ni membership website ambayo members wanatengeneza cv na employers waweze kusearch hizo CV...
 
Mkuu unaonaje kama utawezesha na waajiri kutuma kazi zao na member ku-apply kutumia resume zao online.
Mi nitakua member no1....
 
Mimi Nafanya kazi katika section ya uajili kampuni Fulani , Hakuna sehemu moja ambayo muajiri anaweza kwenda akakutana na wahitimu wote wa chuo Fulani wanaotafuta ajira hapa nchini... Let's say unataka kutuma kazi kwa wahitimu wa UDOM tu utaenda wapi?. Anyway nitakutumia PM kudiscuss zaidi.
 
Tuwe makini 2cje tukaongezea tatizo lingine huku tukidhani tuna solve hii. Nasema hivyo kwa kuwa mwenzetu kabuni kutengeza cv web, mwingne anasema kila chuo kiwe na cv website yake ili mtu akitaka ku-post kazi kwa wanafunzi wa UDOM iwe rahisi. Je kuna utofauti wa sifa kati ya mwanafunzi aliechukua barchelor ya education UDOM na DUCE? Je kama mtu anataka ku-post nafasi za kazi lakini akawa hayuko interested na UDOM wahitimu wa UDOM watapataje kazi? Tuache u-collegelism tuangalie equality and transparent.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom