Wow! amazing ulikuwa wapi siku zote, hii website t******.com ni ya aina yake ningeweka picha yake ila ujaruhusu. ushauri wangu iweke hewani hata LeoMliotoa maoni hapo juu. Madam R, PROSPER 05, scholarsway, WEBUSER2. Nimewatumia link mtest website, naombeni feedback kabla sijaiweka hewani kwa wote...
Thanks
Nimeiona na nimeikubali mkuu, simple na inafunguka kwa haraka kwenye kompyuta (laptop na desktop) isipokuwa haifunguki vizuri kwenye simu za mkononi za kawaida. Lakini CV layout nimeipenda.Kuna mambo kama mawili hivi ya kufanya kabla hujaiweka public (1) Tueleweshe(hint) namna ya kujaza sehemu ya "summary of qualification" (2) Link ya "JOBS" pale juu haifunguki uki click rekebisha.Mliotoa maoni hapo juu. Madam R, PROSPER 05, scholarsway, WEBUSER2. Nimewatumia link mtest website, naombeni feedback kabla sijaiweka hewani kwa wote...Thanks
[*=1]29 DEC 2013 - INTROHallo wadau, nimeplan kutumia muda wangu wa ziada kutengeneza Resume Website
kwa ajili ya wahitimu wa Tanzania, je ungependa iwe na features zipi?..
PROGRESS
[*=1]31 DEC 2013 - SETTING FRAMEWORK.......DONE!
[*=1]1 JAN 2013 - DESIGNING.............DONE!
[*=1]2 JAN 2013 - CONTENT WRITING...........DONE
[*=1]3 JAN 2013 - TESTING ONLINE...........DONE!.- TROUBLESHOOTING.................DONE
[*=1]4 JAN 2013 - LITTLE HOUSE KEEPING.....IN PROGRESSLAUNCHING... .......... IN PROGRESS!
Mliotoa maoni hapo juu. Madam R, PROSPER 05, scholarsway, WEBUSER2. Nimewatumia link mtest website, naombeni feedback kabla sijaiweka hewani kwa wote...
Thanks
Asante kwa feedback unaruhusiwa kuweka picha
Website nzuri resume templates imetulia mkuu, Ila nimeona memberships kama Tatu hivi. Tofauti zake ni nini?