Kuna kila sababu ya kumtafta afisa elimu wa mkoa aiseeeeee hapa maana mtu unaharibu nauli kufatilia bado unaambiwa eti bado hazijatoka na ukienda NACTE wanakwambia tumeshazitumaNi kweli walimu wakuu wanabania sana hata mimi nimefatlia ya mdogo wangu bila mafanikio
Kuna kila sababu ya kumtafta afisa elimu wa mkoa aiseeeeee hapa maana mtu unaharibu nauli kufatilia bado unaambiwa eti bado hazijatoka na ukienda NACTE wanakwambia tumeshazituma
Kuna kila sababu ya kumtafta afisa elimu wa mkoa aiseeeeee hapa maana mtu unaharibu nauli kufatilia bado unaambiwa eti bado hazijatoka na ukienda NACTE wanakwambia tumeshazituma