T TIKEI Member Joined Jul 16, 2013 Posts 62 Reaction score 6 Jun 29, 2016 #1 Habari za jioni wadau, Naomba nijue kama baraza la mtihani bado linautaratibu wa muyoa result slip? Inahitajika kesho na mwanafunzi kamaliza mkoani ambako shule zimefunga, mpaka zikifungua nitakuwa nimechelewa.
Habari za jioni wadau, Naomba nijue kama baraza la mtihani bado linautaratibu wa muyoa result slip? Inahitajika kesho na mwanafunzi kamaliza mkoani ambako shule zimefunga, mpaka zikifungua nitakuwa nimechelewa.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,850 Jun 29, 2016 #2 Kama vyeti havijatoka utapewa ila unalipia pesa.
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,311 Reaction score 7,955 Jun 29, 2016 #3 Shule zinafunga lakini ofisi zinafanya kazi nenda kachukue,
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,311 Reaction score 7,955 Jun 29, 2016 #4 Molembe said: Kama vyeti havijatoka utapewa ila unalipia pesa. Click to expand... Hela ya nini tens kwani imekuwa leaving certificate hiyo? Usimtishe ww
Molembe said: Kama vyeti havijatoka utapewa ila unalipia pesa. Click to expand... Hela ya nini tens kwani imekuwa leaving certificate hiyo? Usimtishe ww
D dr lumilo JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 271 Reaction score 68 Jun 29, 2016 #5 Ela lazima mkuu .. hutopata pesa mbele ...coz
T TIKEI Member Joined Jul 16, 2013 Posts 62 Reaction score 6 Jun 29, 2016 Thread starter #6 vitalis msungwite said: Shule zinafunga lakini ofisi zinafanya kazi nenda kachukue, Click to expand... Shule yao hawapo. Nimempigia mkuu wao kaniambia had trh 9
vitalis msungwite said: Shule zinafunga lakini ofisi zinafanya kazi nenda kachukue, Click to expand... Shule yao hawapo. Nimempigia mkuu wao kaniambia had trh 9
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,850 Jun 29, 2016 #7 vitalis msungwite said: Hela ya nini tens kwani imekuwa leaving certificate hiyo? Usimtishe ww Click to expand... Yaani wakuprintie result slip nyingine bure labda wewe ni Magu.
vitalis msungwite said: Hela ya nini tens kwani imekuwa leaving certificate hiyo? Usimtishe ww Click to expand... Yaani wakuprintie result slip nyingine bure labda wewe ni Magu.
hassan mdidi JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 421 Reaction score 167 Jun 29, 2016 #8 result slip haiuzw pia haitolewi zaid ya mara moja inaprintiwa necta na kutumwa mashulen pia hutumika kwa muda2(expire date)
result slip haiuzw pia haitolewi zaid ya mara moja inaprintiwa necta na kutumwa mashulen pia hutumika kwa muda2(expire date)