Thanks Mtanganyika for useful advice.
yeah hii restaurant itakuwa ya kawaida/middle class in case of mswahil,mhindi or mzungu atakuwa potential customer kwani akidiriki tu kupata service for a first basi lazima ataipenda huduma na hivyo atatamani kuja tena.
itakuwa located uswahilini ila itakuwa smart ndiyo maana najipanga kwa kuwaombeni maufundi wadau hapa JF.
first wahudumu wanakuwa wasafi,and kind person.mpishi mzoefu /kaka wa kusogeza mahitaji.
menu:breakfast......maziwa fresh,supu,chai,uji wa ulezi ,andazi,chapati,mayai n.k
:Lunch....wali/ugali/pilau nyama,kuku,dagaa,mbogamboga/maharage/samaki
chips kuku/mayai/mshikaki/bite
inner......// // //
:dinner table safi,tissue,tooth stick,havikosi mezani.
romosheni....one bottle of uhai drinking water 250ml free....considering maji ni uhai.
Tv,