Elias mwasibu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 83 Reaction score 29 Dec 29, 2016 #1 Hili neno la kingereza rest lina maana ngapi msaada tafadhali jaman
snex Member Joined Oct 9, 2016 Posts 92 Reaction score 46 Dec 29, 2016 #2 Najua maana mbili Kupumzika na zilizobaki /kusalia Kwa mfano I want to rest - Nataka Kupumzika The rest of you - Nyie mliobaki
Najua maana mbili Kupumzika na zilizobaki /kusalia Kwa mfano I want to rest - Nataka Kupumzika The rest of you - Nyie mliobaki