Hauko pekee yako Mkuu, inasikitisha sana. Halafu siku hiyo baridi inadaiwa ilikuwa ni minus 17 Celsius, alikuwa na diaper tu boots na kiflana chepesi.

Inatia huruma sana ukifikiria dakika zake za mwisho za uhai wake jinsi alivyoteseka kwa baridi.