Rest in peace comrade Chacha Wangwe

unamatatizo sana wewe,ulivyoandika kwa kurupuka mi nilijua una la kuongeza. haya taja basi iyo tarehe sahihi ya kifo cha wangwe!
Unakurupuka sana wewe zaidi. Kataja tarehe 28/7/2014 jee ni kweli Wangwe kafa leo? Huu uzi umeletwa kwa nia ovu ndio maana unajichanganya.
 
Sawa, lakini bado inaniuma kwa CDM kumubagua enzi uhai wake na kumsababishia kifo!
 
Kweli damu yake imeanza kuonekana kwani CDM hapashikiki tena, uogomvi wa madaraka shida kweli. Kile kiti kina mwenyewe sijui nani atakikalia. Chezea kwingine si kwa Mbowe na Slaa.
 

mkuu nilichojifunza vijana tunatakiwa kuwa jasiri kama Wangwe, cdm mlaaniwe!!
 
Je aliyosema chacha ya ruzuku yana ukweli? Au ndiyo mtasema msaliti?
 
GODBLESS Lema aje hapa na yeye tukumbuke kifo cha kamanda ,moment for silence
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu kwa kuweka haya maelezo ya chacha wangwe. sikuwahi kuyapata haya kabla ya leo. ama kweli chadema na majizi.


 
unamatatizo sana wewe,ulivyoandika kwa kurupuka mi nilijua una la kuongeza. haya taja basi iyo tarehe sahihi ya kifo cha wangwe!

wewe ndo umekurupuka mkuu shame on you Chacha hajafa 28/7/2014
 
Tutakukumbuka Daima Chacha wangwe!
 
Huyu jamaa alikuwa mwiba kule Tarime hata kabla ya kuwa mbunge nimekumbuka mbali sana tngu sekeseke la kuwekwa selo na bado wananchi walimwelewa na urasta wake
 
Kuandika hivi ni kwamba kuhalalisha tukio kwamba CCM walimuondoa Imran Kombe na Nyie Mkamuondoa Chacha Wangwe au kusudio lako ni lipi.
unajaribu kujenga hoja kwamba CCM imefanya kwa wengi nyie Huyu mmoja tu kelele nyingi?

Sisi kina nani???
 
RIP Comrade, makamanda wa chadema tunakukumbuka sana, tunakumbuka uwezo wako wa kuipigania haki za wanyonge
unachekesha. mnamkumbuka kwa lipi? kumpoteza au? mchango mengine ni kejeli tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…