Rest in peace amy winehouse! :'(

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,221
Msanii Amy Winehouse, Ninasikitika kuwa ametutoka siku chache zilizopita, tena inauma sana kwa wale wapenzi wake kama mimi. Nilipenda sauti yake na saili yake ya kuvaa, hakujalisha maneno ya watu. Alikuwa anatumia vizuri vionjo vya jazz na soul. But still nitazidi kupenda nyimbo zako hasa kibao chako cha Rehab. Tunasubiri utafiti uhitimishe sababu ya kifo chako bcoz wengi wanasema its due to drugs addiction and alcohol. Hakuna aliyemkamilifu duniani kwani kila mtu ana maovu yake so sio vizuri kuangali upande wako negatively! Amekufa akiwa mdogo sana..27 years? Too bad. But Mungu alize roho yako mahali pema.
 
Back
Top Bottom