ππKuna msela kila tukitoka job alikuwa anapitia mapera.
Baadae akasitisha zoezi, nikamuuliza mbona siku hizi hupitii mapera; akanambia mke ameshajifungua!
Nilishangaa saana naye alicheka saana. Maana ilikuwa kama dozi.
Kumbe ilikuwa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaKuna msela kila tukitoka job alikuwa anapitia mapera.
Baadae akasitisha zoezi, nikamuuliza mbona siku hizi hupitii mapera; akanambia mke ameshajifungua!
Nilishangaa saana naye alicheka saana. Maana ilikuwa kama dozi.
Kumbe ilikuwa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa .... Aise mpaka ufike kinondoni pame shakucha na mpemba kafunga biasharaUnaamshwa saa sita usiku, unaambiwa nataka chips za ukwaju za kwa mpemba kinondoni, wakati nyinyi mnaishi tabata kimanga!
Usipokua mvumilivu unamtia makofi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
- KANA -
Hata ukizipata, ukimletea akigusa tu mara moja anakwambia ameshiba!Hahaa .... Aise mpaka ufike kinondoni pame shakucha na mpemba kafunga biashara
Sent using Jamii Forums mobile app