we suffer for women, ati wanapiga simu tu, nitumie hela ya nauli, ukisema nakutumia 3,000 kwa MPESA, demu anajibu mimi nikatoe 3,000 MPESA? kwanza ni aibu, hii nimejionea mwenyewe jana jamaa alipopigiwa simu atume hela muda huohuo ya nauli ya daladala, nikawa najiuliza unaweza kuta huyu jamaaa hata hela hana ila masiki lazima atafute hata ya kukopa ampe huyu demu akafanye starehe zake.
Hivi leo ni siku ya wamaume duniani?kuna thread nyingine hapa ya kujivunia kuwa mwanaume....
View attachment 201711Hakuna siku maalum kwa Wanaume, siku zote 365 na 1/4 ni za wanaume.