Inavyoonekana, hawa watu wataingilia kuilinda Syria isivamiwe, naona wana wasiwasi kuwa nchi zote za west wanataka kumiliki much more territories na kuwa much more influencing.Sidhani kama itasaidia!US wakiamua mambo huwa hawasikilizi hata hao UN ninauhakika very soon Syria watavamiwa na marekani na washirika wake!!
Nakubaliana mkuu, ni wanafiki na wako kwa maslahi yao na si ya hao wasyria.So its OK kwa Assad kuwaua wananchi wake maana hata resolution to condemn inakataliwa? hawa wote wana interest zao sio za Syrians,na Mushi forget about that eti wataingilia kuzuia Syria isivamiwe hapo ni opportunity tuu za kuuza weapons na contract za mafuta/whatever,hao Eastern power hawana tofauti na west wote game yao ni moja tuu wanaangalia mfuko kwanza.
hakuna "so far wenye uwezo huo ni US "..... members wenye veto powers ni permanent, wako watano. Hakuna kitu kama "so far."so far wenye uwezo huo ni US, Russia,China et al...
Sijui sana issue za diplamasia, however "so far" as in kuna uwezekano wa kupatikana wengine zaidi wakawa na uwezo wa veto?hakuna "so far wenye uwezo huo ni US "..... members wenye veto powers ni permanent, wako watano. Hakuna kitu kama "so far."