MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Umewahi kujiuliza kwa nini Nazi hata ianguke uktoka umbali wa mita 30 haipasuki?
Watafiti wa University of Freinberg Plant Biomechanics group wanafanya kazi na Archtects kuchunguza ngozi ya tunda la nazi ili waje na nyumba ambazo zinawezakuhimili mitikisiko ya Tetemeko kuokoa maisha ya maelfu.
Hii ni mfano wa layers tatu zilizo nje ya tunda nazi zinazosaidia isipasuke. Mshtuko au kishindo chochote nje haufiki kwenye tunda la ndani.