Research, dissertation na semester projects.

Juley Aru

Member
Jun 4, 2017
91
82
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.

Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.

Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana
 
sasa wewe unataka tukusaidie nini au umeleta humu tuwaseme hao walimu wako??
Peleka Instagram kwa Dada Mange atakusaidia, but kumbuka ku-hide your ID
 
Inabidi kulifahamu hili kazi yoyote ya utafiti ikipitiwa na watu tofauti tofauta hasa wataalamu lazima ipate marekebisho
 
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.

Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.

Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana

Samahani Msomi hivi ni nini hasa unataka kutueleza hapa kwani pamoja na kujinasibu Kwako kote najaribu kutafuta ' Hoja ' ya maana katika Uzi wako huu mpaka sasa sijaiona badi zaidi tu ya kuona unazunguka pembe zote za dunia kujielezea ili ueleweke upesi na Great Thinkers waliotukuka humu Jamvini.
 
Endelea, bado nasoma maandishi yako
 
kimsingi hso masupervise sizani km wote wamesoma chuo kimoja hawawezi wakawa sawa hata kidogo lakin pia research sio kuungaunga tu mada ni logic yaani title yako inaashiria conclusion yako

km objectives zipo out of your topic aise utasugua gaga sana
 
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.

Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.

Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana

Shule ni yako na elimu unayopata ni kwa ajili yako mkufunzi ana nafasi ndogo sana kwako kuweza kuwezakuwa bora katika eneo lako.

First inaonekana ww ni wale wa spoonfeeding hujishughulishi nakushauri hata siku moja usije kuanza kublame kwamba mkufunzi ndo kakufikisha hapo yeye anatoa guidance tu but kiini chote ni ww mwenyewe.

Jiulize je ni darasa zima kazi zao ni mbovu? na unapata muda wapi wa kuanza kuandika humu badala ya kukesha na kazi za shule yako pole sana
 
Asante, nilishakamilisha
 
Back
Top Bottom