Juley Aru
Member
- Jun 4, 2017
- 91
- 82
Itakua nimechelewa kusoma elimu ya chuo kikuu, nahisi nasoma kipindi ambacho waalim wetu wengi sio vipanga japo karibu wote wana shahada za uzamili na uzamivu.
Ngwe iliyopita nilikua na semester project chini ya supervisor wawili, nikaandaa title na kum'consult supervisor akairekebishe, ikawa poa.
Baada ya kuandaa objectives na kumuona supervisor wa pili, akashangaa kwamba nimewezaje kufika mwaka huu na nmeshindwa kuandika title vizuri, hahahah.
Semester inaendelea, wao wanakurekebisha lakin siku inayofuata ukienda tayari umeyafanyia kazi marekebisho waliyosema awali , wanakwambia ukiendelea hivi uta'disco kabisa.
Final presentation, UE. Ndio wanakosoa karibu kila kitu kwenye ripot yako wakat consultation umekua ukifanya., na wanakwambia unaweza carry usipokua makini.
Nahis nimesoma wakat mbaya ambao hata waalim wanakosoana