Research Consultacy

WAR

Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
49
Reaction score
36
Habari wanajamvi, mimi ni kijana niliemaliza kutoka chuo fulani hapa nchini nina uzoefu kidogo katika mambo ya monitoring and evaluation na pia nina uzoefu wa kufanya data entry katika software mbalimbali natafuta nafasi ya kuvolunteer au internship katika taasisi yeyote ili niendeleze taaruma na uzoefu wangu. Ahsante
 
Wanakuja mkuu.
Nakutakia mafanikio katika hadhima yako mkuu.

 
Reactions: WAR
Ungeweza kuorodhesha hizo software unazozimdu ungekuwa vzr

Sent from my TV
 
No experience no employment. Jiajiri. Huna dili kwa hiyo kazi.
 
Reactions: WAR
Chuo fulani ndo chuo kipi...hapo kwenye taaruma weka taaluma
 
No experience no employment. Jiajiri. Huna dili kwa hiyo kazi.
Mkuu; Umesomea fani gani, katika chuo gani (Zingatia hakuna chuo Fulani hapa Tz) na ungesema unao uzoefu wa kufuatilia na Tathmini katika mambo gani na uingizaji wa Takwimu katika mifumo ipi.Je, ni kiwango gani cha Taaluma yako e.g. Shahada,Stashahada au Astashahada? Je wewe ni Me au Ke? Samahani lakini - Hivi ndivyo Chuo ulichosomea kilikufundisha kuomba kazi hata kama ni ya kujitolea? Nakushauri Unatakiwa ujieleze vzr ili ueleweke na sio kama ulivyofanya na pia ukitumia Kiswahili zingatia Kiswahili sahihi au sanifu.
Hebu fafanua vizuri ili atakayekuhitaji aweze kujua anamchukua mtaalam wa namna gani.
Karibu tena kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…