Nina shahada ya kwanza katika elimu,sera mipango na utawala (Bachelor of education in policy,planning and management) kama kuna mtu yoyote anakazi ya utafiti na anahitaji msaidizi au, mtu anayetaka kuandaliwa project proposal ukini pm tunaweza fanya kazi. mimi niko mkoa wa manyara.