Research assistant jobs

Kativo

Member
Feb 10, 2011
55
15
Jamani wana-JF nisaidieni nipate kazi za research assistance. Nina BA sociology na nimekua nikifanya prject/prgrm management ktk NGOs mbalimbali at least for the past 8 yrs. Natafuta kazi sijapata naona nianzie hapa ili nisife njaa. Yeyote anayejua anijuze naomba nawaombeni sana jamani.
 
Ahsante. Hilo nilishaliona na nafanyia kazi. Ila safari ni hatua nahitaji kua financially ok kwanza.
 
Back
Top Bottom