Research assistant jobs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Research assistant jobs

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kativo, Aug 24, 2011.

 1. K

  Kativo Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Jamani wana-JF nisaidieni nipate kazi za research assistance. Nina BA sociology na nimekua nikifanya prject/prgrm management ktk NGOs mbalimbali at least for the past 8 yrs. Natafuta kazi sijapata naona nianzie hapa ili nisife njaa. Yeyote anayejua anijuze naomba nawaombeni sana jamani.
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  una degree wewe ndo unatakiwa utengeneze ajira uajili vijana wengine. funguka aisee
   
 3. K

  Kativo Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ahsante. Hilo nilishaliona na nafanyia kazi. Ila safari ni hatua nahitaji kua financially ok kwanza.
   
Loading...