donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,132 Apr 9, 2011 #1 Habar zenu wakuu,naomba msaada kama kuna nafas za tempo zinapatkana kuanzia saa kumi na mbili jioni (after my class hourz). Ni mwanafunz wa degree ya banking & Finance katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Thankx r in advance!
Habar zenu wakuu,naomba msaada kama kuna nafas za tempo zinapatkana kuanzia saa kumi na mbili jioni (after my class hourz). Ni mwanafunz wa degree ya banking & Finance katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Thankx r in advance!