Report: Rwanda Best Governed in the East African Region

Report: Rwanda Best Governed in the East African Region

murutongore

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
2,051
Reaction score
639

HE Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda meeting with Confederation of Indian Industry – New Delhi, 4 November 2014

Rwanda has been named regional best in governance, beating Kenya, which was ranked 17 in Africa, according to the latest continental survey.

Rwanda ranked 11 with a score of 60.4 while Tanzania ranked 15 with an overall score of 58.2 in the 2014 Ibrahim Index of African Governance.

The report was based on four major determinants; safety and the rule of law, participation and human rights, sustainable economic opportunity and human development.

Kenya had a score of 57.4, beating Uganda, which was ranked 19 with a score of 56.1. A scrutiny of the report indicates that over the last year, Kenya has experienced a decline in national security, public management and the quality of education.

The country's biggest strides were in public participation and infrastructure. Ironically, Rwanda which is a small economy compared to Kenya, scored highly in gender mainstreaming.

The report ranked Mauritius as the best-governed state in the continent with a total score of 81.7, followed by Cape Verde at 76.6 and Botswana at 76.2. The poorest performers were the war-torn Central African Republic and Somali

Source : 2014 Ibrahim Index of African Governance (IIAG)

haya kagame kawadanganya na hawa ili wapike hii report.

cc
lawmaina78, Talkandtalk, Commanche, mukambasimba, mchambawima1, Koba, and interahamwe jMali.
 
The more mud is thrown at kagame the bigger he gets. Congrats to the people of Rwanda, such awards are a team efforts and am sure everyone has played their roles for the greater good. Hata sisi tutafika huko, hope our able president Uhuru is learning a thing or two. Can't judge him much as he just completed an year at the helm as opposed to others who have hit many years.
 
murutongore

Dunia ndivyo ilivyo, ngoja kidogo Jmali atarejea na sumu zake aanze kutangaza habari zake za vifo na ubaguzi!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kwa EA...mbona sioni kama kuna gap kubwa between countries nikiangalia scores pamoja na uozo wote wa Tanzania?...nilidhani kawa namba 1 Afrika....wote ni wafu wanaozidiana harufu....(nikichukulia Tz as point of reference)

Nimekumbuka usemi wa usiseme najua kukimbia wakati akukimbuzae hana mbio...(kama niko sahihi)
 
Safi sana. Genocidaire watakuja kusema hii report imepikwa na agents walio kwenye payroll ya Kigali ha ha ha. Huwa hawakosi la kusema.
 
Kumbe kwa EA...mbona sioni kama kuna gap kubwa between countries nikiangalia scores pamoja na uozo wote wa Tanzania?...nilidhani kawa namba 1 Afrika....wote ni wafu wanaozidiana harufu....(nikichukulia Tz as point of reference)

Nimekumbuka usemi wa usiseme najua kukimbia wakati akukimbuzae hana mbio...(kama niko sahihi)

Tanzania tumekubali kuwa hopeless sana mpaka kitendo cha kutokua wa mwisho kwetu ni ushindi tayari! Haijalishi ni wa ngapii swala ni sio wa mwisho!
 
Tanzania tumekubali kuwa hopeless sana mpaka kitendo cha kutokua wa mwisho kwetu ni ushindi tayari! Haijalishi ni wa ngapii swala ni sio wa mwisho!

Ah wapi ndugu yangu usife moyo, hao unao waona wanatoa hoja za ajabu ajabu sio wabongo ni wanyarwanda tena nao hawautaki yani wapo wapo kama mkia wa mbuzi hata usiwajali! Kama kuna mambo unaona kuna mambo nchi yenu inataka kurekebisha basi karibu kwetu labda kuna mambo mawili matatu mnayoweza kujifunza na sie vilevile tutakuja kujifunza mengine mnayotuzidi ndi ujirani huo. Ila hao wauza sumu wasikupotezee wakati kabisa!
 
rwanda ya 11, tz ya 15, kenya 17

ukilinganisha ukubwa wa tz na hivo vinchi, basi tz tuko juu sana.

i bet tungekuwa na utawala mbadala na sio huu rahisi basi tz tungekuwa hata 5 bora!
 
rwanda ya 11, tz ya 15, kenya 17

ukilinganisha ukubwa wa tz na hivo vinchi, basi tz tuko juu sana.

i bet tungekuwa na utawala mbadala na sio huu rahisi basi tz tungekuwa hata 5 bora!
Wacha kunivunja mbavu ndugu yangu, kwa hiyo kutokana na ukubwa wa Tanzania kuna sehemu serikali haifiki? Wswahili wanasema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, kanchi unaweza kukaona kadogo lakini mikakati yake murua mwenyewe ukatia akili, ila kama ulivyosema hiyo nchi ingekuwa na viongozi mbadala basi hata msingekuwa namba 5 bali namba 1, resources zilipo bongo peke yake zinatosha kuwatoa kwenye aibu.
 
rwanda ya 11, tz ya 15, kenya 17

ukilinganisha ukubwa wa tz na hivo vinchi, basi tz tuko juu sana.

i bet tungekuwa na utawala mbadala na sio huu rahisi basi tz tungekuwa hata 5 bora!
ahahahahaahaahah kweli uchambuzi wako dhaifu sana,hapa tatizo ni management sio ukubwa ndugu yangu...ukubwa wa nchi ingetakiwa iwe advantage kwa nchi ndogo,kwani ukubwa wa nchi unaendana na wingi wa madini,maliasili,watu nk....kwahiyo isiwe disadbvantage,tatizo ni uongozi bora na jinsi ya kumanage hizo resources nyingi mlizo nazo.
 
Na sasa Rwanda iko serious kuichapa Tanzania hizi ndo tl 50.
 
Attachments

  • 1415613787808.jpg
    1415613787808.jpg
    18.1 KB · Views: 63
rwanda ya 11, tz ya 15, kenya 17

ukilinganisha ukubwa wa tz na hivo vinchi, basi tz tuko juu sana.

i bet tungekuwa na utawala mbadala na sio huu rahisi basi tz tungekuwa hata 5 bora!

Mzee wa namba (yaani Mathematics).... mimi naona Tanzania na EA kwa ujumla twendeni Botswana tukajifunze mambo kule.... mbona kila kitu wako juu halafu wako kimya wala hamna majisifu ambayo tunayasikia kwa wengine....
Nadhani wanajua ya kuwa.... matendo yanapaa kuliko maneno.....

Though I am normally sceptical about these Arm-chair reports churned out by NGO and the likes of bureaucrats about Africa every year...one thing in MO's report is accurate: Kenya is witnessing a down spiral of insecurity. Just three days ago I was in Mombasa and witnessed the killing of another youth by the security.The youth was just a petty criminal at best. Why, Kenya, don't you have jails for those? Life is indeed very cheap in Kenya!
 
Na sasa Rwanda iko serious kuichapa Tanzania hizi ndo tl 50.
tz msidhani ni congo, tz uzalendo upo juu sana pamoja sana utofauti wa kisiasa, na sasa hivi 4m6 jkt ni kwa kwenda mbele non stop. mwambieni ajaribu kama hatajuuuta na hapo Rwanda tunamuweka Rais muhutu kama watutsi hamjasaga meno na watutsi muwe wakimbizi milele.
 
Hapa ni vitendo wala sio maneno mingi
 
Back
Top Bottom