Heri ya mwaka Mpya wapendwa!
Kuna dada mmoja alileta Uzi wenye kichwa cha habari hapo Juu; Alijitambulisha kwa jina moja tu mercy, kwenye Uzi wake, alidai anakerwa kuombwa namba za cm na wanaume ambao co class yake, by the way yeye yupo Juu, ni mtu wa Juu, bila yeye kampuni anayofanyia kazi haiwezi kufunga mahesabu, akipanda daladala huwa ni kutufurahisha tu sisi wanajamii wenzake kwakuwa Mara nyingi hutumia Gari yake binafsi, Mme wake alimpata kwenye ndege ya Kenya airway.. Wakiwa wamekutana Mara kumi kwenye ndege hiyo na kukaa siti moja, mdada huyu kwa maelezo yake kasoma ughaibuni watu wasimwombe namba yake maana si level yao..
REPORT
Baada ya kusoma Uzi ule, nikatamani kujua ukweli wake, nikaamua kumchunguza,tena kwa njia rahisi sana ya Ku PM, kwa akaunti ya dada angu,dada angu alimpa pole kama shost,nakujifanya kama yeye anamuunga mkono,baadae akamwambia haya shost tutakuwa tukiwasiliana..baada ya kuchat kwa mda dada akamwandikia namba yake na kumwambia hiyo ndo namba yangu shost,utanitext na yako hahahah au ndo hata mwanamke mwenzio cpewi?(akamwambia nakutania mwaya nitumie Wangu) Mara akatuma........
Dadadadah hapo uchunguzi ukaendelea, nikamcheki tigo pesa jina Sio mercy tena, anaitwa NEEMA .I. KAITABA, nikamchek WhatsApp na Facebook n.k, nikapata rafiki ake waliesoma naye, hapa ndo ukweli akanipa, kiukweli huyu dada kumbe katudanganya wana JF, Huyu dada kasoma sociology ktk chuo cha Mwl nyerere class of 2015, Anaishi Gongolamboto, kwa sasa kaajiliwa anauza simu na memorycard ktk duka moja kariakoo, huyu dada hajaolewa, yupo kwa mjomba ake gongolamboto, hana Gari, hajasoma ughaibuni wala nini, kwao kabisa ni muleba bukoba,
Baada ya kugundua haya nimeshangaa sana, sasa hayo ya Kenya airway, ya Gari, class na kujinasibu kasoma ughaibuni aliyasema kwa faina Ipi, kuna sehemu ya kutafta hata hizo sifa ila Sio JF, wala kwenye umati wa watu ambao hata hawakujui hata una Rangi gani, uongo Tuuache, kwani kujipandisha na kujiona wewe ni Mali sana ni ulimbukeni uliopitiliza, ni ujinga usio na mawaa ni keroo na kwa uongo wa kujisifu unachefua sana Watu, ingawa muongo hujiona yupo Juu kumbe ni mpuuzi tu.
Hata mussa alipotumwa na Mungu kuwakomboa wana wa Israel alifika mahala akajawa majivuno, hata watu umati ulipolia kwa KIU YA MAJI ,Mungu alimwambia mussa Nyoosha Fimbo yako na upige kilima na maji yatatoka,ila mussa alifanya hayo kwa kujivuna na kuwaambia, ngoja niwape maji(yaan c Mungu tena bali yeye anawapa maji) Majivuno na sifa zile zilikuwa ni chukizo mbele ya Mungu, Hadi Mungu kwa hasira akamwambia Mussa ..UTAUONA MJI WA AHADI ILA HUTAKANYAGA...
Jamani Sifa zingine kumbe ni dhambi,ni utumwa hazifai, Mungu akikupa usiwadharau wenzako maana vyoote ni Mali yake!
Ni ushauri wa bure kwa wadada kama mercy wanaotaman kupata ili wawaringishie mengine!

Last edited by a moderator: