Nakumbuka alivyo sema kwamba wananchi wa jangwani bondeni wasiondoke kwa kuwa wakubwa wana njama za kuwahamisha ili wajenge sehemu ya kwenda kulia ice cream. Akasema wao watabaki hapo hapo wakiwa wanakula ubuyu wao!
Mafuriko yametokea yamewaathiri watu wa jangwani sijamsikia akisema chochote!