bmpingo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 343
- 197
Kama wengi mjuavyo, Passport zetu hizi mpya (latest) zilianza kutolewa mwaka 2005 na kwa sasa miaka kumi karibu inafika . Mie yangu imejaa na hivyo inabidi kuibadilisha. Kwa kuwa niko nje na ubalozini hawatoi mpya naomba ushauri kwa waliofanikiwa kufanya hivyo muda sio mrefu kwani nimeona vitu vingi vinavyonitoa moyo kama vile kukosekana kwa online forms za passport mpya, kukosekana na clear information kwenye website nyingi za balozi zetu abroad, kukosa clear directive kutoka embassy personnel (I was told, you just come we will help you with anything here, but write an application to head of migration :angry:-can I know a name-!!! asking to be issued new passport). But the fact is , I am paying almost $300.00 to visit the Embassy: early flight in and late flight home and can't pass the night since next day I need to be at work. Please, any advise how to avoid underwater traps will be highly appreciated. I don't mind receiving your comments by emails on blackmpingo (at) gmail (dot) com