Remote ya receiver qsat q15g imekufa.Ukiweka battery ina function kwa single hit kisha hugoma, ukitoa battery ukibonyeza tena itafanya kisha hugoma tena.
Msaada please, kama zinapatikana zinauzwa wapi na kiasi gani.
Natumia kisimbusi hiki kwa fta kiko very strong kushika signal tofauti na receiver ya strong. Mfano,napata tv za bongo bila shida kabisa.