kintumia ADOPTER au AC DIRECTnimejaribu lakin bado ina search tu
Katoe silidi pale kwenye miter box (pale nje kwenye mita yenyewe)ukilifungua ndani mle kuna miter ingizia kwa hapo namba zako za luku.asalaam
moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme
sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio
na hata nikiulizia salio inagoma, mbaya zaid umeme umeisha na mimi ni mfanya biashara ya samaki na nyama hivyo endapo vitakaa pasipo umeme kuwepo maana yake nitaingia hasara kubwa sana kwan vyote vitaoza
nimereport tanesco kitengo cha dharura wamedai wapo mbali
sasa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili anipe msaada tafadhali kitu gani nifanye ili kuinusuru biashara yangu
aksanten ...nawasilisha
Zingine zipo juu barabarani kwenye NGUZOKatoe silidi pale kwenye miter box (pale nje kwenye mita yenyewe)ukilifungua ndani mle kuna miter ingizia kwa hapo namba zako za luku.
Ulete mrejesho
hii ni family house....! nyumba za jirani zipo mbali na hapa nilipo hivyo siwezi tumia socket ya mtu mwingineUngekuwa umeingi ukagoma kuwaka ningekusaidia. Hata hivyo unatakiwa uingize umene wakati umechomeka remote kwenye Socket. Ikigoma tumi socket ya jirani mwenye umeme. Socket iwe on.
tena majanga haswa... na nikitoa ile sildi pale kwenye mita ili niingize kupitia pale ni kosa la kisheria endapo watakuja na kukuta pamefunguliwaHivo vidude ni majanga sana sijui kwa nini TANESCO hawataki kutengeneza mfumo ambao mtu akinunua umeme uingie moja kwa moja kwenye mita yake kama ilivyo ving'amuzi vya tv.
Kwahiyo family house ndo unafanyia biashara ya samaki na nyama? Kwanini unakua muongo hivyo?hii ni family house....! nyumba za jirani zipo mbali na hapa nilipo hivyo siwezi tumia socket ya mtu mwingine
Mimi naingizia hapo hapo,walinambia wenyewetena majanga haswa... na nikitoa ile sildi pale kwenye mita ili niingize kupitia pale ni kosa la kisheria endapo watakuja na kukuta pamefunguliwa
Wewe kafungue uingize umemetena majanga haswa... na nikitoa ile sildi pale kwenye mita ili niingize kupitia pale ni kosa la kisheria endapo watakuja na kukuta pamefunguliwa
Weka waya kichomeke kwenye socket hata kama umeme umekata ndo uingize utaingiakinatumia chaji
Ndugu mpendwa Mteja wetuasalaam
moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme
sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio
na hata nikiulizia salio inagoma, mbaya zaid umeme umeisha na mimi ni mfanya biashara ya samaki na nyama hivyo endapo vitakaa pasipo umeme kuwepo maana yake nitaingia hasara kubwa sana kwan vyote vitaoza
nimereport tanesco kitengo cha dharura wamedai wapo mbali
sasa yeyote mwenye uelewa juu ya tatizo hili anipe msaada tafadhali kitu gani nifanye ili kuinusuru biashara yangu
aksanten ...nawasilisha
Wewe ni mhuni sanaNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000