Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,277
- 19,914
Siyo Daimond kuna Bwana mdogo kamsahihisha ila kabamba mbaya, kama,kazi nzuri
Umemshindwa kwa Voda sasa fitina unazileta kwa style hii....Huyu msaani ndo SIMBA sio kile kipaka shume, kujikomba kwa Bashite daily. SHAMELESS SOUL. Anaona sifa kutafuta kiki mpaka kwa Lucifer, eti Simbamson ! Mtoto wa Kiislamu unakaba kiki mpaka kwa shetani, mxiuuuu! Leo Simbamason kesho anajenga msikiti. Labda Nyaumason.
Dogo japo umeiba hhii biti na intellectual property ila MESSAGE YAKO TUMEIPOKEA SANA. We live in desperate times so desperate measures are inevitable.