Babu alitumia tu ile principle: "It's not over until it's over".Babu alikuja kukomba uspoon uzeeni.
Du usikate tamaa kablqa hujafa.
Hata wasio na dini walikwenda!Viongozi wa kisiasa walipoanza kukimbilia huko watu nao walizidi kuwafuata...........Madhara ya kupropaganda za kidini za kijinga nadhani faida yake mmeiona.