Sasatel na TTCL ndio wanatumiwa zaidi kwenye Cafe nyingi
Sasatel - Speed Nzuri , wako reliable, na unaweza kuunganishwa siku hiyo hiyo (nunua CDMA Router yao, cafe nyingi hutumia hichi kifaa). Ila bei za bundle ziko kidogo juu ya TTCL, zimepishana kidogo.
TTCL - Wana speed nzuri siku hizi , bei zao za bundle zimepunguzwa. ILA hawako reliable na mpaka uvute nyaya za simu. Lakini kama unayo simu tayari sio shida sana.
Kazi Kwako.
B.P (2010)