nilikuwa nafanya shopping ebay, ikabaki chenji nikaona niimalizie kwa kununua aya mrefu wa usb ili niwe nachaji simu hata nikiwa kitandani, nikanunua bwana, immediately baada ya kununua ikatokea message kuwa duka limefungwa mpaka mwezi wa nne, daaah nikajua jamaa washaniibia ila nika calm down coz nilinunua hela ndogo na nikajipa matumaini hizo ndo risk za kununua mtandaoni nikaamua kusahau kabisaa, vifaa vingine vyote vikaja in time ila uo waya ndo nkawa nshalizwa....
mie nikasahau kabisaaaa, mara siku iyo nikakuta kaparcel kangu kamekuja nikafurahi sana maana mpaka sasa hakuna item hata moja niliyoagiza isifike
kitu cha kuzingatia ni kuangalia positive feedback ya seller kabla hujanunua bidhaa