Reli ya kiwango cha kimataifa.p

Reli ya kiwango cha kimataifa.p

Penguini

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
388
Reaction score
298
Nimesoma kwenye mitandao kwamba serikali imetangaza zabuni ya ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimataifa je zitapita treni za kawaida au za umeme?
1473509127391.jpg
 
We jua zitapita treni tu... Jiandae kuzipanda haijalishi ni za solar, umeme au mkaa
 
Nimesoma kwenye mitandao kwamba serikali imetangaza zabuni ya ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimataifa je zitapita treni za kawaida au za umeme?
View attachment 397542
Zitakuwa ni diesel engines zenye speed ya 120km/hr. Too inefficient and slow.
I advised sana kwamba tujenge kwa awamu awamu ya kwanza iishie Dodoma lakini kiwe ni kitu cha uhakika kama hapo kwenye picha uloweka. Hizo $7.2 billion alizokopa tuimarishe supply yetu ya umeme kwenye grid then wajenge high speed electric rail mpaka Dodoma phase one, phase two iende mpaka Mwanza na Kigoma na huko Rwanda na Burundi
 
ubabaishaji mwingi awamu hii ngoja tusubiri tuone
Ahadi hii ya kujenga Reli ya kati kwa kiwango cha standard gauge ilitolewa mwaka 2005, katika serikali ya awamu ya nne hawakuweza kutekeleza kwa miaka yote kumi, serikali hii kutangaza zabuni ni mafanikio makubwa, labda kama haujui maana ya Zabuni ndio utashangaa.
 
kwa hiyo na kuchimbwa mafuta kuliko tangazwa na Mkapa kuna uwezekano mkubwa kutangazwa zabuni yake awamu hii sio?
 
Zitakuwa ni diesel engines zenye speed ya 120km/hr. Too inefficient and slow.
I advised sana kwamba tujenge kwa awamu awamu ya kwanza iishie Dodoma lakini kiwe ni kitu cha uhakika kama hapo kwenye picha uloweka. Hizo $7.2 billion alizokopa tuimarishe supply yetu ya umeme kwenye grid then wajenge high speed electric rail mpaka Dodoma phase one, phase two iende mpaka Mwanza na Kigoma na huko Rwanda na Burundi

hizo phase za ufanikishaji miradi ndo Tanzania na Africa hatuziwezi tunataka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja bila strategies na wala hakuna wa kuuliza thats why we end up achieving nothing
 
Zitakuwa ni diesel engines zenye speed ya 120km/hr. Too inefficient and slow.
I advised sana kwamba tujenge kwa awamu awamu ya kwanza iishie Dodoma lakini kiwe ni kitu cha uhakika kama hapo kwenye picha uloweka. Hizo $7.2 billion alizokopa tuimarishe supply yetu ya umeme kwenye grid then wajenge high speed electric rail mpaka Dodoma phase one, phase two iende mpaka Mwanza na Kigoma na huko Rwanda na Burundi
Ndoto hiyo, labda ccm ife
 
Wachangiaji hamjaelewa kusudi la mleta mada? Mwendo uleule wa kupinga na kubeza kila jambo linalofanyika kuanzia nyumbani kwao, mtaani, jimboni hadi taifa......fanyakazi dogo!
 
Back
Top Bottom