Relationship

Me lilichojifunza hapo ni kwamba, waafrika tuko wide sana kwenye kumshauri mtu, lkn wazungu wapo narrow wala hainogi
 
Ha ha ha..
Nimecheka. Ukitaka una refer posts na komenti za jf. Kenya=TZ
 
miafrika ndivyo tulivyo

Wala sishangai tuna mitizamo traditional na culture tofauti, swala hili ndio linaonyesha uwezo na mapungufu katika namna tunavyo shughulikia mambo ya watu wengine.

Angalia tunawaenzi vipi watu waliopigania masilahi ya taifa (walifanya kwa ajili yetu na si wao binafsi). Heshima kiasi gani tunatoa kwa wasanii wetu wakongwe, siasa na uchumi vikoje! Ntatoa mfano kuna thread fulani ilihisu mapenzi na dini siikumbuki sawasaw ila kuna post moja mwandishi alisema tunajidai wenye dini kuliko hata walioileta...

Nikajiuliza hivi historia ya dini inasemeja..si ni kitu kinachotembea na kuishi! Ni kitu kinachoambukizwa... Na kunauwezekano hata hao walio ileta si waanzilishi (ndivyo ilivyo) Sasa ikiwa hupendi kufikiri kidogo nje ya box utashindwaje kuandika post sawa na za Wakenya ambao ni wa EA wenzetu. Tujifunze kwa hii mifano rahisi..

I real like the thread mkuu unaendeleza mapinduzi ya kifikira asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom