Relationship and letting go. Why I oppose this?

Hivi unadhani unaweza kumshauri mtu aachane na akaachana kweli na mtu wake, while hana nia ya kuachana? Utashangaa na roho yako mbona. Ikifika stage mtu anataka kuachana, hatokumbuka hata kuomba ushauri kwa mtu, atajisepea zake kimya kimya.
Kuna watu wana akili za kushikiwa my dia yani akishauliwa na watu wake wa karibu na kweli akaamua kumuacha mtu wake
 
Hii lugha hii wandugu mjaribu kutufikiria na sisi mangereza
 
Kuna watu wana akili za kushikiwa my dia yani akishauliwa na watu wake wa karibu na kweli akaamua kumuacha mtu wake
Ni wachache honestly

Nishalishuhudia hili kwa watu wa karibu sana. Mtu anaweza akalalamika anayofanyiwa hadi chozi juu na ni vitu ambavyo kweli vinaumiza, unajikuta aunt sadaka unashaurii wee "muache, anakuumiza, anakupotezea muda blah blah blah", after a week unakuta bae kawekwa dp, unachoka akili na roho. Siku hizi mtu akinililia namwambia endelea naye tu, siku yakikufika kooni utaondoka mwenyewe. Ila kwa muda huu lia tu kadri uwezavyo hadi nafsi yako itulie teh
 
Mmmh Sometimes unaweza jikuta una hold on kwenye `hamna ' ukaishia kujilaumu umepoteza muda wako bure na maumivu juu
 
love you ..come pm please ...bae ..eeeeehh i have fluu..
 
Holding on does more damage than letting go.....[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Mbona umekopi shairi la jamaa wewe,,Harafu kumbe kaenglishi kamekuwa dili
 
Hata mimi sijapanda school bus...si ndio maana najitutumua kupata experience? ukitaka kujifunza kitu weka uoga pembeni kama Trump, watu wanakuona mwendawazimu ila unachanja mbuga...
Na kama sitaki kujifunza?
 
Hivi unadhani unaweza kumshauri mtu aachane na akaachana kweli na mtu wake, while hana nia ya kuachana? Utashangaa na roho yako mbona. Ikifika stage mtu anataka kuachana, hatokumbuka hata kuomba ushauri kwa mtu, atajisepea zake kimya kimya.
Kati ya vitu vigumu kushauri ni mapenzi,unashauri weeee kumbe mtu ana yake kichwani, mi sitakagi kabisa.
 
You have a good point but ill tell you this.
Sometimes you find yourself in a situation where you are trying to fix your relation but your lover doesnt even care .... he/she keeps breaking your heart... dissapoint you day in / day out....

He / she doesnt do anything to fix the relation.
you find yourself fighting alone... at the end you are getting tired . Is not just peoples want to give up.. and break off...
Sometimes you have to break for your own peace of mind... and healthy life.
 
My mentor alipenda kusema, "Let go to get more."
Mkuu kama your mentor alisema hivyo, na wewe ni Mentor , inamaana hata wewe unasema hivyo. Wakati mwingine hauwezi kung'ang'ania kitu ambacho kuendelea kuwa nacho kinakuletea madhara zaidi. (Japo inategemea na mazingira).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…