Rejection by TCU, names mismatch; je tunaomba tena?

Rejection by TCU, names mismatch; je tunaomba tena?

badali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
212
Reaction score
81
Kwa wanafunzi walio kwenye selection ya vyuo vikuu ila majina yao yamekua mismatch je wamaomba tena kwenye hii second round?
 
Nenda ofisini kwao wakujuze tatizo ni nini iliufanye haraka kuomba kesho ni mwisho
 
nauliza tena baada ya kupata hiyo fomu ya tcu unaitma tena na barua kwenda kwenye chuo ulichochaguliwa??
 
Kila mtu na majanga yake mi nasubiri approval ya TCU mpaka sasa hivi kimya na UDSM wanasema confirmation iwe leo, wanatakiwa wafanye kitu, siyo kila anaeomba Chuo anakaa Dsm, e-communication ni muhimu sana, I don't know what will happen!
 
Back
Top Bottom