Rehema umetuwakilisha Singida

Mwendo ni ule ule.
Jenga CV kwa kuwa chawa mwandamizi

Teuzi zinakaribia UTAULA maana CCM imeshaachana na concept ya cheo ni dhamana
 
Kazi kweli kweli..Nawependa sana watu wa Singida kwa ukarimu wenu
 
Mbona jamaa kajieleza vizuri tu na ana cv nzuri tu kumzidi hata MBOWE
Na hapo ndipo vijana wa Aina yako mnakofeli. Alichonacho Mbowe kichwani ni zaidi ya PhD zenu za mchongo. Uwezo wa kujenga na kupangua hoja critically ni zaidi ya ccm wote waliohai na hata waliolala mauti!
Mbowe siyo wa caliber yenu endeleeni ni shoga mwenzenu!
 
Hapana mkuu MBOWE na Suphian Juma ukiwalinganisha bila kulalia upande wowote hakika MBOWE anapitwa mbali sana na Suphian Juma kama unabisha tuweke CV za wote hapa jukwaani
 
Hapana mkuu MBOWE na Suphian Juma ukiwalinganisha bila kulalia upande wowote hakika MBOWE anapitwa mbali sana na Suphian Juma kama unabisha tuweke CV za wote hapa jukwaani
CV ni mini dogo? Kuwa na CV na kujenga hoja ni vitu viwili tofauti! Mchukue Prof wa uchumi pale uds kisha mpe mtaji na kumweka pale kariakoo uone atakavyochemsha! Hiyo sufiani wako amedesa na kukariri tu Hana lolote jukwaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…